Sanchez, anayecheza soka katika klabu ya Barcelona akiteleza uwanjani baada ya kufunga bao la kuongoza

Valdivia akishangilia bao lake
Kikosi cha Chile: Bravo, Isla, Medel, Jara, Mena, Aranguiz, Diaz, Vidal, Alexis, Valdivia, Vargas.
Wachezaji wa akiba: Toselli, Albornoz, Silva,Carmona, Pinilla, Rojas, Orellana, Beausejour, Gutierrez,
Fuenzalida, Paredes, Herrera.
WEaliofunga: Sanchez, 12, Valdivia, 14, Beausejour, 90.
Kikosi cha Australia: Ryan, Franjic, Wilkinson, Spiranovic, Davidson, Leckie, Jedinak, Milligan, Oar, Bresciano, Cahill.
Wachezaji wa akiba: Langerak, Wright, Taggart, Halloran, Bozanic, Troisi, Holland, McKay, McGowan, Vidosic, Luongo, Galekovic.
Mfungaji: Cahill, 35.
Mwamuzi: Noumandiez Doue (Ivory Coast)
Kwa matokeo ya leo, kundi B linaongozwa na Uholanzi wenye pointi 3 na mabao matano 5 ya kufunga na kufungwa moja. Nafasi ya pili wanaishikilia Chile wenye pointi 3 na mabao matatu ya kufunga na kufungwa moja.
Nafasi ya tatu inashikiliwa na Australia ambao hawana pointi, lakini wamefungwa mabao matatu na kufunga moja, wakati Hispania wamefunga bao moja na kufungwa mabao matano, hivyo kukalia mkia wa kundi hilo.

0 comments:
Post a Comment