Sunday, June 15, 2014

 
Mario Balotell akiifungia bao la pili Italia
TIMU ya Taifa ya England `Simba watatu` imeanza vibaya kombe la dunia baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Italia maarufu kwa jina la Azzuri mjini Manaus  katika mchezo wa kundi D.
Italia walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 35 kupitia kwa Claudio Marchisio, lakini katika dakika ya 37,  Daniel Sturridge aliisawazishia England bao hilo akiunganisha krosi nzuri iliyochongwa na Wayne Rooney kutoka wingi ya kushoto.
 
Daniel Sturridge akiisawazishia England bao la kwanza
`Supa` Mario Balotelli ndiye aliwaua England baada ya kuandika bao la pili kwa njia ya kichwa katika dakika ya 50.Kikosi cha England kilichoanza:  Hart, Johnson, Cahill, Jaglielka, Baines, Gerrard, Henderson, Sterling, Rooney, Welbeck and Sturridge  
Kikosi cha Italia kilichoanza: Sirigu, Chiellini, Paletta, Barzagli, Darmian, De Rossi, Pirlo, Veratti, Candreva, Marchisio and Balotelli.
 
 Claudio Marchisio akitandika shuti kali na kuifungia Azzurri bao la kuongoza.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video