Sunday, May 18, 2014



Timu nzima ya mtandao huu inatarajia kupiga kambi Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni ya leo kwa lengo la kukuletea matokeo ya moja kwa moja baina ya Taifa Stars dhidi ya Zimbabwe.
Tafadhali usikose kutufuatilia ili ufahamu nini Taifa stars watafanya.
Viingilio katika mechi hiyo ni sh. 5,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, kijani na bluu, sh. 10,000 kwa VIP C na B, na sh. 20,000 kwa VIP A.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video