Saturday, May 17, 2014



 http://3.bp.blogspot.com/-5QX3KzYHFtc/T_-pm40U9NI/AAAAAAAAJnU/vIQHJyQqkNw/s1600/12juillet2012-division1-j9-mazembe-vs-muungano-14_1342119829.jpg
Na Baraka Mpenja
MIAMBA ya soka nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, TP Mazembe imepigwa kidude kimoja kwa yai dhidi ya El Hilal Omdurani ya Sudan katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Afrika.
El Hilal walianza kutibua mipango ya Mazembe katika dakika ya 51 baada ya Salah Al Jizoli kuandika bao la kuongoza kufuatia kumalizia pasi nzuri ya Bakri Babeker.

Kipigo hicho cha bao 1-0 kimewafanya Mazembe kuanza vibaya michuano hiyo na sasa watahitaji kufanya vizuri mchezoz unaofuata, huku wakiwa katika kundi A pamoja na wapinzani wao wakubwa AS Vita.

Washambuliaji wote wawili wa Tanzania wa TPM walicheza, Mbwana Samatta akianza na Thomas Ulimwengu akitokea benchi dakika ya 66 kwenda kuchukua nafasi ya Rainford Kalaba.


Samatta na Ulimwengu wanatarajiwa kuondoka asubuhi kuja Dar es Salaam kujiunga na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa Jumapili dhidi ya Zimbabwe, kuwania hatua ya makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani nchini Morocc


RATIBA YA MECHI ZA KESHO NA KESHOKUTWA HII HAPA
 Saturday 17 May 2014

Esperance (Tunisia)vES Setif (Algeria)
20:00
Sunday 18 May 2014
AS Vita (Congo DR)vZamalek (Egypt)
15:30
CS Sfaxien (Tunisia)vAl Ahly Benghazi (Libya)
18:00
Saturday 24 May 2014
Al Ahly Benghazi (Libya)vEsperance (Tunisia)
18:00
Zamalek (Egypt)vAl Hilal (Sudan)
19:30
Sunday 25 May 2014
TP Mazembe (Congo DR)vAS Vita (Congo DR)
15:00
ES Setif (Algeria)vCS Sfaxien (Tunisia)
19:30

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video