Tuesday, May 13, 2014

MSHAMBULIAJI Luis Suarez ameongeza tuzo katika orodha yake ya tuzo, baada ya kutajwa ndiye Mchezaji Bora wa Msimu wa Ligi Kuu ya England 2013/14.
Nyota huyo wa Liverpool amefunga mabao 31 na kutoa pasi 12 za mabao katika mechi 33 za Ligi Kuu alizocheza, huku timu yake Liverpool ikizidiwa kets kidogo na Manchester City katika mbio za ubingwa.
Suarez, ambaye pia ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Wachezaji wa PFA na Mchezaji Bora wa Waandishi wa habari za Soka msimu huu, alinyakua tuzo ya nne msimu huh baada ya Kiatu cha Dhahabu cha Ligi Kuu England.
Anahitaji kabati kubwa la mataji: Luis Suarez akionyesha tuzo sake mvili binafsi za Ligi Kuu EnglandGong: Suarez (with Young Player of the Year winner Eden Hazard) picked up the PFA award last month
Na hii pia: Awali Suarez akiwa na mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa Mwaka, Eden Hazard alishinda tuzo za PFA mwezi uliopita
Mpachika mabao huyo wa Uruguay, ambaye anajiandaa kukutana na England katika Fainali za Kombe la Dunia Juni 19, alimaliza msimu akiwa mfungaji bora- akimzidi kwa mabao 10 mchezaji mwenzake wa Wekundu hao, Daniel Sturridge.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video