Friday, May 16, 2014

Kikosi Cha Skylight kutoka kushoto ni Winfrida, Sam Mapenzi na Sony Masamba wakianza kuamsha amsha ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.Sam Mapenzi akiimba kwa Hisia kali wimbo wa “All on Me wa John Legend” ndani ya Thai Village.Winfrida Richard akiimba kwa hisia kubwa ndani ya Thai Village Ijumaaa iliyopita.
Mpiga Gita mahiri wa Skylight Band Allen Kisso undele akizikung’uta nyuzi za gitaa hilo ipasavyoooooo
Idrisa idrisaaa ma drummmm akicharanga vyombo kwa umahiri ili kuleta ladha mwanana kwenye muziki mzuri wa Skylight Band ndani ya Thai Village ijumaa iliyopita

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video