Jamaa akifanya kazi yake ndani ya hoteli ya San Raphael, mjini Sao Paulo
Holanda
anaamini Ronaldo atakuwa fiti kusafiri kwenda Brazil, baaada ya nyota
huyo kutolewa nje katika mchezo wa La Liga wa sare ya 1-1 dhidi ya
Valladolid kutokana na kupata majeruhi ya nyama za paja.
Bosi wa
Madrid, Carlo Ancelotti amempumzisha Ronaldo mpaka kwenye mchezo wa
fainali wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya watani zao wa mji,
Atletico Madrid, mei 24 mwaka huu, lakini sare waliyopata ilipunguza
matumaini yao ya kuwaa ubingwa wa La Liga.
Sergio Ramos alivaa viatu vya Ronaldo baada
ya kufunga bao dakika ya 25 kwa mpira wa adhabu ndogo, lakini bao la
beki huyo lilisawazishwa dakika ya 85 na nyota wa Valladolid sorio in
the 85th minute.
Holanda akifanya kazi ya kuchonga vinyago vya Neymar na Ronaldo
Nje: Ronaldo aliumia kwenye mechi iliyomalizika kwa sare ya 1-1 dhidi ya Real Valladolid
0 comments:
Post a Comment