Monday, May 12, 2014

WASHAMBULIAJI wa wawili wa Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu jana wameiongoza vyema klabu yao kushinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita katika mchezo wa Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Kwa ushindi huo kwenye Uwanja wa Tata Raphael , Mazembe imeendelea ubabe wake wa Vita baada ya awali kuifunga 4-1 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza mjini Kinshasa. 
Wa pili na wa tatu kushoto waliosimama ni Samatta na Ulimwengu katika kikosi cha TP Mazembe

Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee Gladson Awako dakika ya 35  na sawa Mazembe inajiweka mguu sawa kuelekea taji la DRC.
Ikumbukwe Mazembe na AS Vita pia zimepangwa kundi moja katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video