CARLOS Tevez ameachwa kwenye kikosi cha awali cha kocha wa Argentina, Alejandro Sabella kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil.
Mshambuliaji huyo wa Juventus licha ya kuonesha kiwango
kizuri katika ligi ya Seria A, bado hajamshawishi Sabella kuingizwa
katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa kwenda nchini Afrika
kusini.
Franco Di Santo, Rodrigo Palacio na nahodha Lionel Messi
wataongoza safu ya ushambuliaji, wakati huo huo mchezaji anayecheza kwa
mkopo, Atletico Madrid , Jose Sosa ameitwa katika kikosi hicho.
Kikos kizima hiki hapa:
Walinda mlango: Sergio Romero (Monaco*), Mariano Andujar (Catania*), Agustin Orionu (Boca)
Walinzi: Ezequiel Garay (Benfica), Federico Fernandez
(Napoli), Pablo Zabaleta (Manchester City), Marcos Rojo (Sporting), Jose
Maria Basanta (Monterrey), Hugo Campagaro (Inter), Nicolas Otamendi
(Atletico Mineiro*), Martin Demichelis (Manchester City), Gabriel
Mercado (River), Lisandro Lopez (Getafe*)
Viungo: Fernando Gago (Boca*), Lucas Biglia (Lazio), Javier
Mascherano (Barcelona), Ever Banega (Newell’s*), Angel Di Maria (Real
Madrid), Maximiliano Rodriguez (Newell’s), Ricardo Alvarez (Inter),
Augusto Fernandez (Celta), Enzo Perez (Benfica), Jose Sosa (Atletico
Madrid*), Fabian Rinaudo (Catania)
Washambuliaji: Sergio Aguero (Manchester City), Lionel Messi
(Barcelona), Gonzalo Higuain (Napoli), Ezequiel Lavezzi (Paris
Saint-Germain), Rodrigo Palacio (Inter), Franco Di Santo (Werder Bremen)
Home
»
»Unlabelled
» SABELLA AMPOTEZEA CARLOS TEVEZ KIKOSI CHA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA
Wednesday, May 14, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment