Katika kikosi hicho Ashley Cole aliyetangaza kustaafu jana baada
ya kupewa rasmi na kocha Hodgson kwamba hatoitwa kwa pamoja na Micheal
Carrick, Tom Cleverly, Jermaine Defoe wote wametemwa.



Kikosi kizima hiki hapa;
Walinda mlango: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Mabeki:
Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka
(Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United),
Luke Shaw (Southampton), Leighton Baines (Everton),
Viungo: Steven Gerrard
(Liverpool), Frank Lampard (Chelsea), Jordan Henderson (Liverpool), Ross
Barkley (Everton), Jack Wilshere (Arsenal), Alex Oxlade-Chamberlain
(Arsenal), Raheem Sterling (Liverpool), Adam Lallana (Southampton),
James Milner (Manchester City)
Washambuliaji:
Daniel Sturridge (Liverpool), Wayne Rooney (Manchester United), Danny
Welbeck (Manchester United), Rickie Lambert (Southampton)
Wachezaji wa akiba: Ruddy, Cleverley, Flanagan, Carroll, Stones, Defoe, Carrick
0 comments:
Post a Comment