Tuesday, May 13, 2014


Moving on: Rio Ferdinand will leave Manchester United on a free transfer after the club decided not to renew his contract
 MAISHA ya Rio Ferdinand katika klabu ya  Manchester United yamefikia kikomo baada ya mkongwe huyo kupewa taarifa kuwa hataongezewa mkataba.
Inafahamika kuwa mkurugenzi mkuu wa Old Trafford, Ed Woodward alimwaga mchele kwa Ferdinand mwenye miaka 35 kwenye chumba cha kubadilishia nguo siku ya jumapili katika mchezo wa sare 1-1 dhidi ya Southampton.
Watu wengi walikuwepo katika chumba hicho na kushangazwa na taarifa ya Woodward ambaye aliweka mamboo hadharani kuwa miaka 12 ya Ferdinand inatosha kabisa na ataondoka majira ya kiangazi mwaka huu.
Beki huyo wa zamani wa England aliwaambiwa wachezaji wenzake kuwa sare ya 1-1 katika dimba la  St Mary ndio mchezo wake wa mwisho na aliomba kusaini mpira ili kuacha kumbukumbu yake.
Final bow: United's 1-1 draw with Southampton will be Ferdinand's last game for the Old Trafford club
 Rio Ferdinand ataondoka Manchester United kama mchezaji huru baada ya klabu yake kusema haitamuongezea mkataba

Getting on: Ferdinand, pictured here in action against Bayern Munich, has spent 12 years with United
 Ferdinand aliyedumu Man United kwa miaka 12, alipigwa picha akichuana na Frank Ribery wa Bayern Munich kwenye mechi ya robo fainali ya UEFA
Happy memories: Ferdinand lifts the 2008 Champions League trophy with Ryan Giggs after beating Chelsea on penalties
Historia nzuri: Ferdinand alibeba kombe la UEFA mwaka 2008 akiwa na mkongwe mwenzake, Ryan Giggs baada ya kuifumua Chelsea kwa penati.
Benched: Ferdinand struggled for playing time under David Moyes earlier this season
Benchi sana: Ferdinand alihangaika sana kupata nafasi ya kucheza wakati wa utawala wa  David Moyes mapema msimu huu
Hard man: Ferdinand is escorted from the pitch by Robin van Persie after being cut by a coin thrown from the crowd during a Manchester derby in 2012
Mtu shujaa: Ferdinand alisindikizwa kutoka nje ya uwanja na Robin van Persie baada ya kurushiwa shilingi na kuumizwa katika mchezo wa watani wa jadi wa jiji la Manchester mwaka 2012.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video