

Mwanachama
damu wa Simba na mgombea wa kiti cha urais wa klabu hiyo katika
uchaguzi wa juni 29 mwaka huu, Evens Aveva amerudisha fomu zake leo
mchana, huku akisindikizwa na mamia ya wapambe wake.
Katika pilikapilika hizo, Aveva alisindikizwa na aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Simba miaka ya nyuma Hassan Dalali.
Hata
hivyo baadhi ya watu wanaoaminika kuwa wanachama wa Simba walikuwa na
mabango ya kumpinga Aveva katika harakati zake za kutaka kumrithi Ismail
Aden Rage.
0 comments:
Post a Comment