Monday, May 12, 2014

MAKOSA mawili ya Sergio Ramos  na  Xabi Alonso yameyeyusha matumaini ya  Real Madrid kushinda makombe matatu msimu huu. 
Real Madrid walikuwa na uwezo kwa kubeba La Liga mbele ya wapinzani wao FC Barcelona na Atletico Madrid, lakini wameshindwa kufanya hivyo baada ya kupigwa mabao 2-0 na Celta Vigo usiku huu.
 Kikosi cha Celta Vigo: Alvarez, Jonny, Cabral, Fontas, Aurtenetxe, A Fernandez (A Lopez 56), Krohn-Dehli, Rafinha (Madinda 71), Orellana, Charles (Bermejo 67), Nolito.
Kikos cha Real Madrid: Lopez, Arbeloa (Coentrao 56), Nacho, Ramos, Marcelo, Alonso, Casemiro (Willian Jose 69), Khedira (Illaramendi 56), Modric, Isco, Morata.
Party pooper: Celta Vigo striker Charles scored twice in their 2-0 win against Real Madrid on Sunday
Muuaji: Mshambuliaji wa Celta Vigo , Charles alifunga mabao mawili katika ushindi wao wa 2-0 dhidi ya Real Madrid jumapili
Tucked away: Charles (left) scored his second in the 63rd minute to give Celta a two-goal cushion over Real

Upset: Celta Vigo players congratulate Charles (right) after his first goal at the Estadio de Balaidos Stadium

Nightmare: Real's Marcelo has his heads in hands after defeat at Celta dashes their La Liga title hopes
Down and out: Real players look dejected as they realise their La Liga title ambitions slip away
Wachezaji wa Real wakiwa hawaamini kinachotokea baada ya ndoto zao za kubeba La Liga kuyeyuka
Moving on: Real midfield duo Luka Modric (left) and Xabi Alonso (right) were powerless during their defeat
Viungo wa Real Madrid,  Luka Modric (kushoto) na Xabi Alonso (kulia)  hawakutosha kuikoa klabu hiyo na kipigo
Missed opportunity: Defeat at Celta means Carlo Ancelotti cannot win La Liga in his debut season as Real boss
Getting to grips: Marcelo (right) tries to shrug off the challenge of Celta defender Jonny (left)

Heavy hit: Sergio Ramos (left) tackles Rafinha (right) as Real Madrid lost 2-0 at Celta Vigo on Sunday

No look: Nacho (left) was unable to prevent Real's title hopes disappearing with the club third in La Liga
Mpepetano ulikuwa mkali, lakini mwisho wa dakika 90, Celta Vigo wameibuka vidume.
MATOKEO YA MECHI ZOTE
SPAIN: Primera Division

18:00FinishedAth Bilbao1 - 1Real Sociedad


20:00FinishedAtl. Madrid1 - 1Malaga 


20:00FinishedBetis4 - 3Valladolid


20:00FinishedCelta Vigo2 - 0Real Madrid


20:00FinishedElche0 - 0Barcelona


20:00FinishedEspanyol1 - 1Osasuna


20:00FinishedGetafe1 - 0Sevilla


20:00Finished Granada CF0 - 2Almeria
MSIMAMO BAADA YA MECHI ZA LEO

Spanish La Liga | LOGS

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Atlético de Madrid37285476255189
2Barcelona37275599326786
3Real Madrid372665101376484
4Athletic Club37209866392769
5Sevilla371791166511560
6Real Sociedad371611106153859
7Villarreal371681358431556
8Celta de Vigo37147164852-449
9Levante371212133542-748
10Valencia CF371210154952-346
11Rayo Vallecano37134204578-3343
12Espanyol37119174048-842
13Málaga37119173846-842
14Elche37913152947-1840
15Almería37116204371-2839
16Getafe37109183353-2039
17Granada CF37115213156-2538
18Osasuna3799193061-3136
19Real Valladolid37715153859-2136
20Real Betis3767243576-4125

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video