Thursday, May 1, 2014


Huyu jamaa ni Yanga damu, lakini sasa hatamshangilia tena Domayo na Kavumbagu.

Mashabiki wa Yanga sc watakosa kuziona pasi za kiungo wao injini, Frank Domayo `Chumvi`  baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Azam fc.
Domayo alisaini mkataba huo jijini Mbeya  siku ya jana ambako yuko na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa stars.
Naye Kavumbagu alisaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Azam fc juzi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video