Friday, May 2, 2014


Jibe: Chelsea boss Jose Mourinho believes Eden Hazard isn't ready to sacrifice himself for the team
Bosi wa  Chelsea  Jose Mourinho anaamini  Eden Hazard hayuko tayari kujitolea kwa ajili ya timu.
 Jose Mourinho amejibu mapigo kwa winga wake Eden Hazard aliyekosoa mbinu zake za ufundishaji wa mpira kwa kueleza kuwa winga huyo wa Chelsea kwa asilimia 100 hajitolei kwa ajili ya klabu yake.
Bosi huyo wa  Chelsea ameanza mkutano wake na waandishi wa habari mchana wa leo kwa kumtetea Mbelgiji huyo kwa maneno aliyokaririwa na vyombo vya habari kwa kufafanua kuwa maneno ya Hazard `yalibadilishwa`, lakini Mourinho alihitimisha kwa kusema kuwa hakumfurahia winga huyo.
. "Hakunikosoa. Ni kawaida kupata maoni kwa wachezaji kama yeye ili kutatua matatizo kama tuliyokuwa nayo katika goli la kwanza dhidi ya Atletico"
"Mechi ya kwanza ya UEFA, Willian alicheza winga ya kushoto na kumsaidia sana Cole. Eden ni mchezaji ambaye hana akili ya kumwangalia beki wake wa kushoto".
Down and out: Hazard (left) had been quoted saying Chelsea 'aren't set up to play football'
Hazard (kushoto) alikaririwa akisema Chelsea hawafundishwi soka la kisasa

Twisted: Mourinho also believed that Hazard's words about tactics had been 'transformed' by the media
 Mourinho pia anaamini maneno ya Hazard juu ya mbinu zake za ufundishaji yamebadilishwa na vyombo vya habari
Outwitted: Jose Mourinho has now guided a team to a Champions League semi-final - and lost - for the last four seasons

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video