Pati
la kufa mtu: Kocha wa mabingwa wa Bundesliga, Bayern Munich, Pep Joseph Guardiola (kushoto) na mchezaji
wake, Pierre-Emile Hojbjerg wakicheza dans jukwaani wakati wa sherehe za
kufurahia kutwaa ubingwa wa Ujerumani wa ligi kuu nchini Ujerumani
Amechizika: Guardiola alikuwa amechangamka wakati wa pati hiyo, hakika ubingwa raha sana
Kamata
kipaza, sema neno: Guardiola akiwatambulisha wachezaji wake kwenye pati
hilo huku akiwa amevalia vazi la kitamaduni la timu hiyo
0 comments:
Post a Comment