Saturday, May 17, 2014



Matatani: Anara Atanes anakabiliwa na kesi kwa kumtusi kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps

KOCHA timu ya taifa ya Ufaransa,  Didier Deschamps amefungua kesi dhidi ya mpenzi wa Samir Nasri aliyemtusi mwalimu huyo baada ya kutaja kikosi cha Ufaransa cha Kombe la Dunia na kumtema kiungo huyo nyota wa Manchester City.  
Anara Atanes aliposti kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter- matusi haya; "F*** France and F*** Deschamps! What a s*** manager".
Lakini ingawa baadaye aliomba radhi, Deschamps atachukua hatua za kisheria dhidi ya Atanes.
Kituo cha Redio cha Ufaransa, RMC kimeripoti kwamba Deschamps na Shirikisho la Soka Ufaransa (FFF) wote wamefungua kesi dhidi ya Atanes, ambaye ni mzaliwa wa England na mwimbaji wa kundi la Pop, Fanfare.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video