Friday, May 2, 2014

 http://4.bp.blogspot.com/-H1n8zlhrrbE/UjM3uZzLySI/AAAAAAAADdg/RFdt9WP4cv4/s1600/SAM_0782.JPG
MBEYA City Council FCMBEYA City Council FC
6 hrs ·
Ndugu mdau ghafla unapata nafasi ya kuwa kocha mkuu wa mbeya city fc utafanya nn cha maana ili kufanya vizuri msimu ujao?
Like · ·
  • 44 people like this.
  • John Mwakyokile Ninge wajenga wachezaji kisaikolojia ili wawe na uchu ya ubingwa na kuongeza wachezaji wa3 tu kwaajili ya kukiongezea kikosi nguvu pia wapate posho nzuri na kambi nzuri ya mazoezi kwa hayo2 ubingwa nisha unyaka fuata haya J MWAMBUSI BIG UP XANA love u mbeya city
    6 hrs · Like · 2
  • Fadhili Ngoka unabusara san kuuliz hilo swali.
  • Ze Ndoje itachuakua mda
  • Manase Gwakisa Nimeelewa mnataka maoni kutoka kwetu fans. Wazo zuri admin.
    6 hrs · Like · 1
  • Deus Kshebouy Dckson Daah thanx...kwanza nitasajir gorikipa mwenye uwezo na mrefu kdogo ya aliyepo
  • Aidan Losevart Map G ningèfanya juhud niwapeleke wachezaji mapumzikoni dubai au visiwa vya carribean, afu nasajili foward mmoja na middle mmoja matata.
  • Daniel Simon Mwakimi Ninge wauza baadhi ya wachezaji ukiondoa Nonga, lakini ningetafuta 4wads wakigen ambao wanauwezo wa kukimbia na kufunga cz mbeya cty hatuna mfungaji kabisa hata mwigane na sady kipanga sio wafungaji wa kali kivile ukilinganisha na nafasi ya tearm ilipo na idadi ya magor waliyo funga mpaka mwisho wa ligi.Lakini pia ninge waasa mashabiki kua washangiliaji na sio watazamaji wanao kiachia kikundi kidogo kushangilia.
    6 hrs · Like · 3
  • Manase Gwakisa Ningeshauri usajili wa kipa mrefu wa kusaidiana na Burhan, beki mmoja mrefu mwenye nguvu, striker mmoja mrefu tough mwenye uchu wa magoli na kiungo mchezeshaji mmoja mkali asaidiane na Mazanda & co. Ningeangalia vipaji vipya k...See More
    6 hrs · Edited · Like · 1
  • Anyambilile Mwambojoke kikosi ni kizuri kilichopo ila safu ya ushambuliaji ningeongeza japo watatu wenye kasi na nguvu ili timu iwe inapata ushindi wa magoli mengi
  • Misogynist Hadj nitauza wachezaji wote kwenye vilabu vikubwa kama simba na yanga wakapate somo la kucheza soka la fitna. Ahsanteni
  • Ramsay Daud Mwamakamba Ningeongeza mazoezi na kuwahamasisha wachezaji kila mtu ni muhimu sana hivyo acheze kwa nguvu ili asiangishe timu na wananchi kwan anategemewa
  • Geoffrey Mwaswala Yaani ningefanya juu chini kumsajili michael wa prison aongeze idadi ya wafungaji wa mabao...ni hilo tu
    6 hrs · Like · 1
  • Ray Salandi Timu inamchezo wa kihuni yaan tibua mipango ya timu pinzani, waongeze possesion
  • Lameck Samwel Ningemsajili winga wa jkt orkoro masawe jamaa anajua sana aongeze nguvu pembeni
  • Syliakus P Ngeze timu nzima iko poa sana but hamna striker wa kutumainiwa kabisa. sajili stikers wawili wenye uchu na magoli ili wasaidiane na waliopo ...
  • Dawood Omar Cpx' Ningetafuta wadhamini, maana timu inahitaji uwekezaji wa kutosha ili iende sambamba na mpira wa kisasa
  • Shebby Shebbiez Nisingemtoa mchezaji hata mmoja. Na timu ingeanza mazoezi mapema kwaajili ya maandalizi ya ligi mcmu ujao.
  • Sefa Mwampamba ninge fanya mpango wakuto uza mchezaju hata mmoja

    Barnabas Masoko wachezaji kama sita kila idara wanahitajika kuongeza udambwi dambwi stamina ipo poa sasa ufundi unatakiwa
  • Frank Mahela Vijana wanatakiwa wafanye mazoezi zaidi pia kuongeza teamwork kupandisha team pamoja na kushuka hilo team zingine hazina wavivu wa mazoezi
  • James Samuel ONGEZA kado n themi felix
  • Farida Ngellah kambi iwe ya kudumu mwakaleli huku waje cku moja kabla ya mech
  • Tuzinde Nogela Sito uza mechi
    5 hrs · Like · 1
  • Edger Fred Nikiwa kocha. Ntamuomba Mzee Mwambusi awe kocha mkuu, mm mxaidiz wake.
  • Lugano Mwakinyala Hongera Mwambusi kwa kumsajiri saad kipanga kwenye dirishaa dogo kwa ulisajijili mchezaji mmoja tuu saad kipanga na mchango wake umeonekana
  • Ally Makuwa Kuimarisha nidhamu kuweka kambi za mazoezi kwa muda wa kutosha kujenga fitnes na sycolog kuongeza wachache wazoefu.
    Joseph Chengula awa mi ci wawezi kabsa
  • Michael Angetile Acha kupost ujinga ndg yangu Jackson utaleta maneno ktk club yetu we endelea kupost vitu vyenye maadili bana ningekuwa Mimi ningekufuta kazi wewe kwanza

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video