Friday, May 16, 2014

http://3.bp.blogspot.com/-Nz3nGEUMd58/UyrqICa9p4I/AAAAAAABAh8/QvS0HVvg7Kc/s1600/Salum+Madadi.jpg
Salum Madadi atakuwa moja ya wakufunzi wa semia hiyo
Na Boniface Wambura, Dar es salaam
Kozi ya ukocha wa mpira wa miguu kwa ajili ya leseni A na B zinazotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)  zitafanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Juni 2 mwaka huu.
Ada kwa kozi zote ni sh. 300,000 ambapo wale watakaofanya ya A (equivalent) itaanza Julai 21-26 mwaka huu. Washiriki wa kozi hiyo ni wale wenye leseni B za ukocha za CAF.
http://api.ning.com/files/KiTdbNajtYnJzqsZ4Stklas30nNciWSs1UoHMEjrgtv20tSsSUapHwAibE9q58eTJhw8uBWqYrYJRCCOizUv7qVmOKJz3VMu/Kayuni.jpg?width=550
Sunday Kayuni naye atakuwa mkufunzi wa kazi hiyo
 Kwa wale watakaoshiriki kozi ya leseni B ambao ni wale wenye leseni C watakuwa na vipindi viwili. Kipindi cha kwanza ni kuanzia Juni 2-15 mwaka huu wakati cha pili kinaanza Juni 23 mwaka huu na kumalizika Juni 28 mwaka huu.
Wakufunzi wanaotambuliwa na CAF watakaoendesha kozi hiyo ni Sunday Kayuni na Salum Madadi kutoka Tanzania, na washiriki watajigharamia kwa kila kitu. Baadaye CAF watatuma Mkufunzi mwingine kwa ajili ya mitihani.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video