Tuesday, May 13, 2014


Gone: Tim Sherwood has been sacked as Tottenham manager after six months in charge
Amesepa: Tim Sherwood amefukuzwa kazi katika nafasi yake ya ukocha mkuu Tottenha.

TIM Sherwood amefukuzwa kazi Tottenham Hotspur kama kocha mkuu baada ya kudumu kwa miezi sita tu kwenye uwanja wa White Hart Lane.
Sherwood alirithi mikoba ya Andre Villas-Boas mwezi desemba mwaka jana kwa mkataba wa miezi 18, lakini ameshindwa kufikia msimu wake wa pili baada ya kibarua chake kuota nyasi.
Out the door: Levy (centre) has decided to trigger a break clause in Sherwood's contract
Sherwood alishinda mechi14 katika michezo 28 aliyoiongoza Spurs na kumaliza nafasi ya 6 katika msimamo.
Hata hivyo, kocha huyu mwenye miaka 45 anaweza kupewa ofa nyingine ya kazi katika klabu inayocheza Championship ya Brighton baada ya aliyekuwa kocha wake Oscar Garcia kujiuzulu kufuatia kufungwa na Derby.
 Levy amesema katika mtandao wa klabu: 'Tulimteua Tim katikati ya msimu kwasababu alikuwa anawajua wachezaji wa klabu.
"Tulikubaliana mkataba wa miezi 18 lakini tulizungumza kuvunja mkataba mwishoni mwa msimu na tumefanya hivyo".
 "Kwa niaba ya klabu, tunamshukuru kwa jitihada zake kwa miaka aliyokaa nasi. Tunamtakia mafanikio makubwa katika kazi yake ya ukocha'".


Mediocre: Spurs finished sixth in the Premier League after Sherwood won 14 of his 28 games in charge

Record: Spurs did enjoy some success under Sherwood, winning 14 of his 28 games in charge

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video