
ZLATAN
Ibrahimovic amependekeza kuwa Paris Saint-Germain haina haja ya kusajili nyota
mwingine wakati yeye yupo katika klabu kwasasa.
PSG
wanahusishwa na mpango wa kumsajili nyota wa Barcelona au Cristiano Ronaldo wa
Real Madrid, lakini Msweden huyo alipoulizwa kuhusu hilo alijibu haraka kwanini
klabu isajili nyota mwingine wakati yeye yupo.
“Kwanini
Messi au Ronaldo wakati una Zlatan?” alijibu alipoulizwa katika shoo ya RMC
0 comments:
Post a Comment