Friday, May 2, 2014


Trouble: Manchester United striker is going for a scan after limping out of training on Thursday
Mgonjwa: Manchester United walienda kumfanyia uchunguzi zaidi Rooney baada ya kupata matatizo katika mazoezi ya jana 
 
HABARI mbaya kwa mashabiki wa Manchester United. Wayne Rooney jana aliondoka mapema katika mazoezi ya klabu hiyo na kwenda kufanyiwa uchunguzi wa haraka.
Rafiki wa karibu wa nyota huyo alisema,  Rooney alikuwa analalamika maumivu ya tumbo, lakini Mpenja Blog kupitia mtandao rafiki wa Sportsmail inaelewa kuwa tatizo la Rooney ni kubwa na ndio maana madaktari wa Man United waliamua kumfanyia uchunguzi zaidi.
Man United watatangaza leo hii ijumaa kama nyota huyo mwenye miaka 28 ataweza kuwavaa Sunderland wikiendi hii.

The New Era: Rooney scored twice in the 4-0 win against Norwich at the weekend - Ryan Giggs' first game
Maisha mapya: Rooney alifunga mabao mawili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Nowrich wikiendi iliyopita, huku ukiwa ushindi wa kwanza kwa kocha Ryan Giggs

Popping for a trim: Rooney was photographed outside a barbershop on Wednesday afternoon
Rooney alipigwa  picha jumatano mchana akiwa nje ya saluni

Home comforts: The England striker was spotted in Liverpool, but could be out of the game against Sunderland
Hata hivyo , katika mechi tatu zilizosalia chini ya kocha Giggs, Man United watamkosa Rooney kama tatizo lake litakuwa kubwa.
 
Mshabuliaji huyo wa kimataifa wa England kama atakuwa na majeruhi, anaweza kwenda tena katika fainali ya tatu ya kombe la dunia akiwa na majeruhi.
Mwaka 2006, Rooney alifika kwa kuchelewa katika fainali za  kombe la dunia nchini Ujerumani kwasababu ya majeruhi aliyoyapata katika mchezo wa ligi kuu nchini England dhidi ya Chelsea mwezi aprili mwaka huo. 

Fainali za mwaka 2010 nchini Afrika kusini, Rooney alikuwa katika hali mbaya zaidi baada ya kuumia kifundo cha mguu wa kulia hatua ya robo fainali ya UEFA dhidi ya Bayern Munich mwishoni mwa mwezi wa tatu mwaka huo na alifunga bao lake la 34 Allianz Arena katika mashindano yote.

Hata hivyo alijiunga na timu ya taifa katika michezo mitatu ya kombe la dunia na kutolewa na Ujerumani na kumfanya Fabio Capello arudi mapema nyumbani, lakini hakufunga bao lolote kwa klabu na nchi yake msimu huo.
Kulikuwa na taarifa kuwa nyota huyo aliumia katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya UEFA mwezi uliopita dhidi ya Bayern Munich kwenye uwanja wa Old Trafford, lakini aliweza kucheza mechi ya marudiano Allianz Arena na kutoka hapo hajawa na matatizo tena.
Sasa Roy Hodgson anasubiria kujua hali ya Rooney wakati huu akiumiza kichwa kuelekea fainali za kombe la dunia kuanzia juni 12 hadi julai 13 mwaka huu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video