Friday, May 2, 2014





"Haiwezekani Azam kuchukua wachezaji wa yanga bali sisi ndo inatakiwa kuchukua wachezaji wa Azam, Muhimu kuwe na mipango maalum kwa wanachama kuchangia timu kwa ajili ya usajili
tukifanya hivyo timu itakuwa na hela nyingi hakuna atakayetusumbua Yanga ina mashabiki wengi sana ambapo tukiunganisha nguvu zetu tutapiga hatua kubwa sana. . nasema pia tuache kumzungumzia Domayo tunampandisha chati imeshatokea tuangalie mambo mengine kwa manufaa ya klabu yetu" Alisema Davis Mosha.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video