Washereheshaji wa shughuli ya leo Mpoki na Shadee wakiwa kazini.
Kundi la Weusi likipiga shoo ya nguvu ndani ya usiku wa Kili, Mlimani City.

Msanii Madee na vijana wake wakifanya yao stejini.
 |
Add caption |
 |
|
 |
|
 |
|
 |
|
 |
|
 |
|
 |
|
 |
|
 |
1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi, Dar Bongo Massive2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer 3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz5. WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL - Nishai Chibwa Ft Juru6. WIMBO BORA WA RAGGAE - Niwe na wewe, Dabo7.WIMBO BORA WA TAARAB - Wasiwasi wako, Mzee Yusuf8. KIKUNDI CHA MWAKA CHA TAARAB - Jahazi Modern Taarab9. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB - Isha Ramadhani10. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - Mzee Yusuf11. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI - Ushamba mzigo, Mashujaa Band12. MWIMBAJI BORA WA KIKE BENDI - Luiza Mbutu13. MWIMBAJI BORA WA KIUME BENDI - Jose Mara14. RAPA BORA WA MWAKA BENDI - Furguson15. BENDI YA MWAKA - Mashujaa Band16. MWIMBAJI BORA WA KIKE, KIZAZI KIPYA - Lady Jaydee17. MWIMBAJI BORA WA KIUME, KIZAZI KIPYA - Diamond18. KIKUNDI CHA MWAKA CHA KIZAZI KIPYA - Weusi19. WIMBO BORA WA RNB - Closer, Vanessa Mdee20. WIMBO BORA WA HIP HOP - Nje ya Box, Nick wa Pili Ft Joh Makini & Gnako21. MSANII BORA WA HIP HOP - Fid Q22. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHA / KUSHIRIKIANA - Muziki Gani, Nay wa Mitego ft Diamond23. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI - Tubonge, Jose Chameleone24. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB - Mzee Yusuf25. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - Christian Bella26. MTUNZI BORA WA MWAKA KIZAZI KIPYA - Diamond27. MTUNZI BORA WA MWAKA HIP HOP - Fid Q28. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, TAARAB - Enrico29. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, BENDI - Amoroso30. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, KIZAZI KIPYA - Man Water, Combination Sound31. HALL OF FAME, INDIVIDUAL - Hassan BItchuka32. HALL OF FAME, INSTITUTION - Masoud Masoud33. VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA - Number One, Diamond34.WIMBO WA MWAKA - Number One. Diamond35. MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI - Isha Ramadhani36. MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MUZIKI - Diamond
|
0 comments:
Post a Comment