Mchezaji wa Manchester City, Stevan Jovetic alivua nguo na kubaki na chupi,
timu take ikishinda 4-0 dhidi ya Aston Villa jana kwenye uwanja wa Etihad na kuukaribia ubingwa wa ligi kuu nchini England msimu huu.
Man City wanahitaji pointi moja tu kujitangazia ubingwa katika mchezo wao wa mwisho dhidi ya Westa Ham.
Man City wanahitaji pointi moja tu kujitangazia ubingwa katika mchezo wao wa mwisho dhidi ya Westa Ham.
0 comments:
Post a Comment