Wametokelezea bomba: Nyota wa simba watatu (kutoka kushoto kwenda kulia) Leighton Baines, Frank Lampard, Steven Gerrard na Ashley Cole
wanatarajiwa kuvaa suti mpya wakielekea Brazil kushiriki kombe la dunia
Zimepimwa vizuri: Kila mchezaji wa kikosi cha Roy Hodgson atavaa suti ya Marks na Spencer
`Moka`: Wachezaji wa England watavaa viatu vya aina hii wakielekea Brazil kombe la dunia
Kombe lililopita: Bosi wa wakati huo wa England, Fabio Capello akiwa na kikosi chake kilichovalia suti za Marks na Spencer mwaka 2010 wakati wa kombe la dunia nchini Afrika kusini
0 comments:
Post a Comment