Monday, May 5, 2014

SUALA la ubaguzi wa rangi limezidi kuitikisa Hispania baada ya mchezaji wa Levante, Pape Diop kuzomewa na kufanyiwa ishara za nyani jana na mashabiki wa Atletico Madrid wakati wa mechi ya La Liga.
Hii ni wiki moja baada ya beki wa Barcelona, Dani Alves alipolazimika kula ndizi aliyotupiwa na mashabiki uwanjani wakati akijiandaa kupuga mpira wa kona.
Kiungo huyo raia wa  Senegal baada ya mechi alisema alicheza kama nyani mbele ya waliomzomea na kumkebehi.
"Waliniita nyani,niligeukia na kujifanya nyani,Nimechoka na ubaguzi katika soka. Na upo mwingi"." Diop alikaririwa na Marca.com.
Mungu hapendi namna hii: Wachezaji wa Atletico, Diego Godin na Diego Costa wakimfuata Diop anayeshangilia kwa kucheza kama nyani

"Nilicheza kama nyani kuliainisha tatizo. Nilitaka watu wajue kilichotokea. Sijui kama ni ubaguzi, au kudharauliana, lakini wanatakiwa kuacha ishara za nyani wanazowafanyia watu,"alisema.'
Alves alipata sapoti kubwa kutoka kwa wachezaji wake na Rais wa FIFA, Sepp Blatter baada ya tukio lilitokea katika mechi na Villarreal wiki iliyopita.
Mashabiki wa Atletico jana waliondoka wanyonge baada ya bao la kujifunga la Filipe Luis na lingine la David Barral kuopunguza matumaini yao ya kutwaa ubingwa wa La Liga baadaye mwezi huu
Challenge: Diop (right) slides in to win the ball from Atletico's Toby Alderweireld during Levante's 2-0 win
Kazi kazi: Diop (kulia) akiteleza miguuni mwa Toby Alderweireld wa Atletico kuondosha mpira jana Levante ikishinda 2-0 
Dejected: Atletico players (from left to right) Filipe Luis, Thibaut Courtois and Adrian Lopez react after the final whistle
Wanyonge: Wachezaji wa Atletico kutoka kushoto Filipe Luis, Thibaut Courtois na Adrian Lopez wakiondoka kinyinge baada ya mechi jana

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video