Sunday, May 18, 2014

Applause: Ryan Giggs is ready to become Louis van Gaal's No 2 at Manchester United
 Man United inatarajia kumtangaza Mholanzi huo wakati wowote kutoka sasa  na ilitakiwa watangaza alhamisi ya wiki hii,  lakini waliahirisha ili kutomharibia Van Gaal katika maandalizi yake ya mechi ya kirafiki kati ya timu ya taifa ya Uholanzi na Ecuador.
Giggs atatangazwa pamoja na van Gaal, lakini kocha mpya Mholanzi anataka kumleta mholanzi mwingine na inaonekana Rene Meulensteen anaweza kurudi tena Man United baada ya kuondoka wakati Sir Alex Ferguson alipostaafu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video