Wednesday, May 14, 2014

DEMU wa Samir Nasri amemwaga matusi ya nguoni baada ya bwana wake, anayechezea klabu ya Manchester City kutemwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 ametemwa kwenye kikosi cha Didier Deschamps - ikifikiriwa ni kwa sababu za utovu wa nidhamu na Anara Atanes ameonyesha hisia zake kwenye Twitter.
Ameposti hivi: 'F*** france and f*** Deschamps! What a s*** manager!'(matusi ambayo tumeona tusiyatafsiri ili kupunguza makali yake).
Kidemu chenyewe hiki hapa: Atanes, mwanamitindo mzaliwa wa Brighton, anafikiri timu ya taifa haijampa heshima ya kutosha Nasri
Outrage: And girlfriend Adana Atanes tweeted that Didier Deschamp's was a s*** manager
Bibi na bwana: Nasri akiwa na Adana Atanes na chini ndiyo tweet yake
X-rated: Anara Atanes' tweet on Tuesday evening

KIKOSI CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA;

Makioa: Mickael Landreau (Bastia), Hugo Lloris (Tottenham), Steve Mandanda (Marseille).
Mabeki: Lucas Digne (Paris Saint-Germain), Patrice Evra (Manchester United), Laurent Koscielny (Arsenal), Eliaquim Mangala (Porto), Mamadou Sakho (Liverpool), Raphael Varane (Real Madrid), Mathieu Debuchy (Newcastle), Bacary Sagna (Arsenal).
Viungo: Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain), Rio Mavuba (Lille), Paul Pogba (Juventus), Moussa Sissoko (Newcastle), Yohan Cabaye (Paris Saint-Germain), Clement Grenier (Lyon), Mathieu Valbuena (Marseille).
Washambuliaji: Loic Remy (Newcastle), Franck Ribery (Bayern Munich), Karim Benzema (Real Madrid), Olivier Giroud (Arsenal), Antoine Griezmann (Real Sociedad).
Wachezaji wa akiba: Stephane Ruffier (Saint-Etienne), Loic Perrin (Saint-Etienne), Benoit Tremoulinas (Saint-Etienne), Morgan Schneiderlin (Southampton), Maxime Gonalons (Lyon), Remy Cabella (Montpellier), Alexandre Lacazette (Lyon).

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video