MLINDA mlango wa Manchester United, David de
Gea amechaguliwa na wachezaji wenzake pamoja na mashabiki wa klabu hiyo kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Man united.
Kipa huyo Mhispania alipokea tuzo hiyo kutoka kwa Sir Matt Busby kama mchezaji bora wa mwaka baada ya kupata kura nyingi kutokana na kuonesha kiwango cha hali ya juu msimu huu wa majanga kwa Man United.
De
Gea amechukua tuzo hiyo baada ya kupata asilimia 54 ya kura zilizopigwa na mashabiki, huku Wayne Rooney akishika nafasi ya pili na kinda Adnan Junazaj akishika nafasi ya tatu.
De Gea wakiwa na Juan Mata
MANCHESTER UNITED 2013/2014 PLAYER OF THE YEAR AWARD WINNERS
Sir Matt Busby Player of the Year - David de Gea
Player's Player of the Year - David de Gea
Goal of the Season - Wayne Rooney vs West Ham United on 22/03/14
Denzil Haroun Reserve Team Player of the Year - Saidy Janko
Jimmy Murphy Academy Player of the Year - James Wilson
Lifetime Achievement Award - Ryan Giggs

0 comments:
Post a Comment