Baba
na mwana: Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishuhudia mechi za
tenisi za michuano ya Madrid Open akiwa katika eneo la Magic Box na
mwanawe
Cristiano Ronaldo Junior akimuwekea headphones baba yake wakati wanaangalia tenisi
Anajituma: Rafael Nadal alimshinda Jarkko Nieminen kwa 6-1, 6-4 mjini na kutinga Robo Fainali za Madrid Open
Serena Williams pia ametinga Robo Fainali akipata ushindi wa 650 tangu aanze kucheza tenisi
Carla Suarez Navarro alipiga kitenisi na kuponyokwa na kipigo chake akipoteza mchezo huu
0 comments:
Post a Comment