Monday, May 12, 2014

http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2287258/highRes/543570/-/maxw/600/-/hqqfxq/-/mbuyu.jpg
Taarifa kutoka makao makuu ya Yanga ambazo zimeufikia mtandao huu ni kwamba beki wa kimataifa wa Rwanda Mbuyu anasaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu hiyo baada ya mkataba wake uliopo kumalizika.
Twitte ambaye alikuwa akiwania na klabu ya Azam FC, amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuvaa jezi za njano na kijani msimu ujao.
Taarifa zaidi tutakuletea hapo baadae.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video