Tuesday, May 13, 2014

http://2.bp.blogspot.com/-9rifa1fOlxY/UJKe-D1bMuI/AAAAAAAAYKA/6DPonE4-3SU/s1600/14.jpgHoma ya uchaguzi mkuu wa Simba inazidi kupanda, baada ya  Evans Aveva na Micheal Wambura kuchukua fomu za kugombea urais wa klabu ya Simba SC, leo wanachama maarufu wa klabu hiyo Godfrey Nyange Kaburu na Joseph Itang’are maarufu kama Mzee Kinesi nao wamechukua fomu za kugombea umakamu wa rais wa klabu hiyo.

Kaburu na Mzee Kinesi wote waliwahi kushika nafasi za juu kwenye uongozi uliopita wa Simba, lakini sasa wanaenda kwenye uchaguzi ujao wa Simba kuamua nani atakuwa makamu wa kwanza kabisa wa klabu hiyo.
Risiti ya malipo ya fomu za kugombea umakamu za Kaburu
Risiti ya malipo ya fomu za kugombea umakamu za Kaburu

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video