Bondia Floyd Mayweather akipambana ulingoni na Marcos Maidana alfajiri ya
kuamkia leo katika ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas Marekani.. Hili lilikuwa pambano la
uzito wa Welter. Mayweather alishinda kwa pointi, lakini alitolewa jasho
na mpinzani wake huyo

Maidana akimrushia ndonga ya ukweli Mayweagther

Hii ni mieleka? Maidana akimchezea rafu Mayweather

Mayweather akisherehekea na mataji yake baada ya pambano
0 comments:
Post a Comment