Saturday, May 3, 2014



 
GERARDO Martino amesema yeye ndiye anatakiwa kulaumiwa kutokana na msimu mbaya wa Barcelona baada ya kulazimisha sare ya mabao 2-2 nyumbani Camp Nou dhidi ya Getafe katika mchezo wa La Liga.
Lionel Messi alikuwa wa kwanza kufunga bao la kuongoza dakika ya 23 kabla ya Angel Lafita kusawazisha dakika ya 42, lakini Alex Sanchez aliandika bao la pili dakika ya 67.
Barca wakiwa na matumaini ya kushinda mechi hiyo, dakika ya 90 ya mchezo, Lafita alizima ndoto zao baada ya kusawazisha bao la pili na matokeo kubakia 2-2, lakini Wakalunya hao bado wana matumaini ya kubeba ubingwa.
Martino baada ya mechi alisema: “Tulifanya makosa yaliyotugharimu. Timu ilikuwa na hamu ya kushidna”.
 Unlikely hero: Angel Latifa, centre, celebrates after scoring Getafe's last-minute equaliser against Barcelona
“Tulicheza vizuri na kustahili kushinda. Kiukweli sio msimu mzuri kwetu. Si kwangu tu hata klabu pia. Umekuwa msimu mgumo mno”.
“Nadhani anayewajibika kwa hili ni kocha anayeongoza timu. Kimahesabu, tumefanya kila jitihada kushinda taji.”.
“Tulihitaji kufanya vitu vingi zaidi, lakini hatutakiwa kukata tamaa mpaka siku ya mwisho”.
 Stunned: Barcelona's Lionel Messi, centre, shows his dejection after the last minute equaliser by Getafe
Martino aliendelea kwa kusema kumekuwa na matatizo klabuni ambayo yanatakiwa kutatuliwa, huku akionesha kutokuwa na wasiwasi juu ya hatima yake.
“Wachezaji wanajua nini kinaigawa timu na lipi chaguo sahihi”. Alisema.
“Bado kuna muda wa kueleza hatima yangu. Huwa sioni shida kuwajibika na nadhani nastahili kubeba lawama. Msimu huu kumekuwa na mapungufu yanayotakiwa kutatuliwa”.

MATOKEO YA MECHI ZOTE LA LIGA LEO HII HAYA HAPA 


SPAIN: Primera Division

17:00FinishedBarcelona2 - 2Getafe


19:00FinishedMalaga0 - 1Elche 


21:00FinishedOsasuna0 - 2Celta Vigo


23:0015 Valladolid0 - 0Espanyol

RATIBA YA KESHO

Almeria-Betis


18:00Levante-Atl. Madrid


20:00Sevilla-Villarreal


22:00Real Madrid-Valencia

BAADA YA MECHI ZA LEO MSIMAMO WA TIMU 10 ZA JUU UNAKUWA HIVI

Spanish La Liga

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Atlético de Madrid35284375225388
2Barcelona36274599326785
3Real Madrid34264498326682
4Athletic Club36208865382768
5Sevilla351781066501659
6Real Sociedad35169105951857
7Villarreal351571354431152
8Celta de Vigo36137164652-646
9Valencia CF35129144748-145
10Rayo Vallecano36134194574-2943




0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video