BAADA YA MACHOZI YA SUAREZ, MCHEKI SHABIKI MMOJA WA LIVERPOOL AKILIA PEKE YAKE UWANJANI Peke yake: mcheki shabiki mmoja wa Liverpool aliyebaki peke yake uwanjani baada ya Liverpool kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Crystal Palace jana usiku Machozi: Jamaa alishindwa kujizuia na kumwaga machozi Mikono kichwani: Shabiki mmoja wa Liverpool hakuamini kilichotokea Shabiki yule yule alionekana akiwa amebaki peke yake uwanjani baada ya mashabiki wote kuondoka katika uwanja wa Selhurst Park
0 comments:
Post a Comment