Saturday, May 3, 2014


CARLO Ancelotti amesema ataendelea kuwatumia walinda mlango wake wote, Iker Casillas na Diego Lopez katika mechi zilizosalia za ligi kuu soka nchini Hispania, La Liga.
Mhispania Casillas amekuwa akitumika zaidi katika mechi za makombe msimu huu , huku Diego Lopez akitumika zaidi kwenye mechi za ligi kuu.
http://stormnotify.com/wp-content/uploads/2014/04/iker-casillas-saves-2012-6ah950bt.jpg
Iker Casillas
Ikiwa ni maandalizi ya fainali ya UEFA dhidi ya wapinzani wao wa jadi Atletico Madrid, Casillas atadaka katika mechi za ligi dhidi ya Real Valladolid na Espanyol.
Kocha mkuu Ancelotti amesema leo: “Diego Lopez atacheza dhidi ya Valencia na Celta Vigo, Casillas dhidi ya Valladolid na Espanyol”.
“Casillas anahitaji kujiandaa kwa fainali ya UEFA mwezi ujao”.
Kikosi cha Ancelotti kinaikaribisha Valencia kesho katika mchezo wa La Liga,  hivyo bosi huyo alisema wanahitaji kuwa makini ili kushinda mechi hiyo. 
http://www.fifa.com/mm/photo/tournament/competition/01/04/10/30/1041030_big-lnd.jpg
Diego Lopez

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video