Saturday, April 12, 2014

KIPA Thibaut Courtois ameruhusiwa kucheza dhidi ya Chelsea baada ya UEFA kuionya The Blues kutaka kupewa Pauni Milioni 5 na Atletico Madrid ili imchezeshe kipa huyo wa mkopo ni kinyume cha sheria. 
UEFA imetoa tamko haraka kuzuia mpango wa klabu hiyo ya Stamford Bridge kabla ya timu hizo kupangwa pamoja katika Nusu Fainali. 
Inafahamika kuwa Courtois yuko radhi kuichezea Atletico dhidi ya klabu iliyomlea kwa kuwa anafahamu amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu kwenye timu.

Mtu wa kazi: Thibaut Courtois anaweza kucheza dhidi ya klabu iliyomlea, Chelsea ambayo ilimtoa kwa mkopo Atletico Madrid.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video