Monday, April 14, 2014


Shujaa: Philippe Coutinho akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Liverpool dhidi ya Manchester City
Excitement: Flags and scarves are held aloft on a special day at Anfield as Liverpool beat Manchester City
Furaha: Bendera za mashabiki zikipepea kwa furaha kubwa katikaa dimba la Anfield baada ya Majogoo ya jiji kuwafumua Man City
NAHODHA wa Liverpool, Steven Gerrard  `Mr. Liverpool` ameangua kilio cha furaha baada ya timu yake kuukaribia ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa mara ya kwanza baada ya miaka 24 kufuatia ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya mahasimu wao katika mbio za taji, Manchester City  Uwanja wa Anfield.
Bao la furaha la Liverpool lilifungwa na Philippe Coutinho dakika 12 kabla ya filimbi ya mwisho, baada ya mabao mengine ya timu hiyo kufungwa kipindi cha kwanza na Raheem Sterling dakika ya sita na Martin Skrtel dakika ya 26.
Lakini City ilipigana na kusawazisha hadi kuwa 2-2 kwa mabao ya kipindi cha ya David Silva dakika ya 75 na Glen Johnson aliyejifunga dakika ya 63, lakini makosa ya Nahodha wa City, Vincent Kompany yalimpa Coutinho nafasi ya kaumua mshindi wa mechi.
Baada ya mechi, Nahodha wa Wekundu hao, Gerrard alionekana kumwaga machozi kabla ya kuwakumbatia wachezaji wenzake. Liverpool sasa inatimiza pointi 77 baada ya kucheza mechi 34 na kuendelea kujinafasi kileleni, wakati City inabaki na pointi zake 70 za mechi 32 na kuendelea kubaki nafasi ya tatu. Chelsea yenye pointi 75 za mechi 34 ni ya pili.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video