Monday, April 14, 2014





Maandalizi ya mazishi ya Mwanamuziki Mkongwe Muhidin Gurumo bado yanafanywa na familia.
millardayo.com imefika nyumbani kwa marehemu na kuongea na mtoto wa kwanza wa marehemu Abdallah Muhidin Gurumo.

Abdallah amesema mpaka sasa kama familia wameamua mazishi yafanyike Jumanne ya
April 15 kijiji alichotoka marehemu Gurumo,Masaki wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani saa 4 asubuhi.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.










Credit: millardayo.com

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video