Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili mwaka 1964 watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo viongozi mbalimbali na marais wa nchi mbalimbali za Afrika na wawakilishi wa nchi mbalimbali pia katika mataifa mbalimbali ya ulaya, Fullshangwe iko kwenye eneo la tukio ikikuletea moja kwa moja matukio na maelezo zaidi ya picha hizi yatakujia baadae kwa sasa endelea kuangalia picha.(PICHA NA KUKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA WA UHURU)
Home
»
»Unlabelled
» RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA
Saturday, April 26, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment