MAKAMU wa
Rais Dk. Gharib Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick,
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova na mpiga
picha wa TBC, George Kasembe wamenusurika kifo baada ya helkopta
waliyokuwa wanasafiria kupata ajali Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere.
PICHA NA KANDILI YETU LEO
PICHA NA KANDILI YETU LEO
0 comments:
Post a Comment