
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.

Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya Karatee na mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.

Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na adui.

Sasa ni zana za kivita

Hiki ni Kifaru

Kifaru cha kivita kikipita mbele ya wanahabari na wananchi waliohudhuria katika maadhimisho hayo.

Wananchi wakishuhudia vifaru vikipita wakati wa maadhimisho hayo.



Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.

Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.

Wakienda kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Kikwete.

Rais Jakaya Kikwete akiwapongeza askari hao wa miamvuli mara baada ya kutua

Vijana wa pikipiki wakipita mbele ya Rais Jakaya kikwete

Vjana wa halaiki wakionyesha maumbo mbalimbali yenye kuuuelezea muungano wetu wa Tanzania

Ni maumbo mbalimbali yaliyoonyeshwa na watoto wa halaiki wakati wa maadhimisho hayo.
PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE
0 comments:
Post a Comment