MOROGORO NAKO HALI SI SHWARI YAINGIA KATIKA MAFURIKO BAADA YA MVUA INAYOENDELEA Ukiwa unatokea dar kuingia Morogoro maeneo ya nanenane,Mwembesongo,Mji mpya ambapo mto Morogoro unapita kwa siku ya leo wapo katika wakati mgumu baada ya mafuriko kuwakumba na nyumba zao kujaa maji ya mafuliko. Chanzo: Wajanja wa Town Blog
0 comments:
Post a Comment