Monday, April 14, 2014

Mlipuko mkubwa unaosadikika kuwa ni bomu umetokea katika klabu ya Arusha Night Park ya jijini Arusha ambapo imeelezwa kwamba kulikuwepo na watu wengi wakiangalia mpira wa Ligi kuu ya Uingereza wakati michezo hiyo  ikiendelea jioni hii majira ya saa moja na kujeruhi vibaya watu watano.
Chanzo cha mlipuko huo hakijafahamika huku mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo akiahidi kufuatilia suala hilo na kuwachukulia hatua kali watu watakaojulikana kuhusika na mlipuko huo, Majeruhi wamelazwa katika hospitali ya mkoa  Maunt Meru kwa matibabu, Fullshangwe inaendelea kufuatilia taarifa hizo na tutaendelea kuwa taarifu kupitia hapahapa

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video