Kibaka mmoja jina lake halikufahamika mara moja alijikuta mikononi mwa mchina na kuwa mpole kama mbwa na chatu baada ya kunaswa akitaka kukwapua pochi kwenye kibegi chake kidogo, Mchina huyo ambaye naye hakutaka kutaja jina lake inasadikiwa ni mwajeshi. alitoa kichapo saafi kwa kibaka huyo huku akimdhibiti kwa asilimia mia moja, Tukio hilo lilitokea jana maeneo ya mtaa wa Samora karibu na mnara wa askari jijini Dar es salaam . Mara baada ya mkudhibiti kibaka huyo mchina aliomba msaada kwa wasamaria wema ili wawataarifu polisi na alijitokeza msamaria nwenye shati jeupe katika picha ambaye alionekana kupiga simu polisi ili waje kumchukua kibaka huyo mambo ya mjini hayo.
Home
»
»Unlabelled
» MCHINA ACHACHAMAA MTAA WA SAMORA, KIBAKA AWA MPOLE KAMA MBWA NA CHATU
Tuesday, April 15, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment