Tuesday, April 22, 2014

MANCHESTER  City imeweka hai matumaini ya ubingwa wa Ligi Kuu ya England, baada ya kuilaza mabao 3-1 West Bromwich Albion usiku wa jana Uwanja wa Etihad.
Ushindi huo, unaifanya City itimize pointi 74 baada ya kucheza mechi 34 na inaendelea kushikilia nafasi ya tatu kwenye msimamo nyuma ya Chelsea pointi 75 za mechi 35 na Liverpool pointi 80 za mechi 35.

Mabao ya City usiku huu yamefungwa na Zabaleta dakika ya tatu, Aguero dakika ya 10 na Demichelis dakika ya 36,wakati la West Brom limefungwa na Dorrans dakika ya 16.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video