MAJAMBAZI YAWAPIGA RISASI WACHINA NA KUWAPORA FEDHA MOROKO, KINONDONI Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la tukio. Majambazi yamewapiga risasi raia wa China na kuwapora begi linalodaiwa kuwa na fedha hivi punde eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Credit:GPL
0 comments:
Post a Comment