"Azam
FC ambao ni mabingwa wapya wa Tanzania Bara leo saa 8 mchana baada ya
Swala ya Ijumaa watatembelea kituo cha Watoto yatima cha Chamazi
Magengeni, kama sehemu ya sherehe za ubingwa ambazo zitahitimishwa kesho
pale Azam Complex-Chamazi. Azam FC itakuwa na wachezaji wake wote
walioipa ubingwa pamoja na benchi la ufundi chini ya Mwalimu Omog.
Wakiwa pale watatoa zawadi kwa watoto na kula nao chakula cha mchana."
Home
»
»Unlabelled
» MABINGWA AZAM KUTEMBELEA WATOTO YATIMA CHAMAZI MAGENGENI LEO MCHANA!!
Friday, April 18, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment