Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu ya maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994, maadhimisho hayo yatakayofanyika jijini Dar es salaam Aprili 7, mwaka huu ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Ofisi ya Rais (Asiye na Wizara Maalum), Prof.Mark Mwandosya.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam kuhusu kumbukumbu ya maadhimisho ya mauaji ya kimbari ya Rwanda ya 1994. Kushoto ni Afisa Habari wa Kituo cha Kimataifa Stella Vuzo.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994, maadhimisho hayo yatakayofanyika jijini Dar es salaam Aprili 7, mwaka huu ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Ofisi ya Rais (Asiye na Wizara Maalum), Prof.Mark Mwandosya. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene (kushoto) akiteta jambo na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi (kulia) mara baada ya kikao na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Katikati ni Katibu wa Ubalozi wa Rwanda nchini Ernest Bugingo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene wakati wa mkutano na MBalozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi leo jijini Dar es salaam.
(Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment